Ticker

6/recent/ticker-posts

FURSA MKONONI MWAKO.... BEGIN TO DAY WITH BOMBASTIC AGENCY


 The most People don't Achieve their Dreams ,The reason behind wako (Buzy)



✍🏿

Unamwambia anza Fursa ya biashara itakusaidia kuongeza Kipato anakwambia am Busy.


Mara nyingi the most people wako Buzy more than anyone in life or in the office,They equate effectiveness to being Busy


Na kwa mantic hio The most People nimewaweka kwenye makundi au aina mbili 


1.Aina ya kwanza ni

(Busy Bee 🐝) 

Bora ukawa kwenye hili kundi Kwasababu nawafananisha na nyuki wako busy Lakini unaona matokeo yao wazalisha asali tamu yenye kuitajika na watu Wengi na ndo mdudu pekee anae toa chakula na binadamu wanakula ni (nyuki) so Bora ukawa Busy Bee effective and you will see the Results


2.Aina ya pili ni

(Busy Flies)

 Nimegudua the most people hawafanikiwi Kwasababu ni Busy Flies, They are Every where but they produce nothing


Hili kundi ni la Inzi 😂 Inzi wako kila sehemu Lakini hakuna wanachokizalisha zaidi ya kutuletea usumbufu tu mbaya zaidi baada ya siku Saba tu Inzi anakufa so maana yangu uko buzy na vitu ambavyo having future Badala uje uanze biashara itakayokujengea future imara 


Unafikiri Wewe uko kundi gani apo Usije ukawa ni Busy Flies ebu fanya evaluation ujitatathimin uko buzy na vitu vya msingi au buzy flies 😂 na ukweli ni kwamba unayo nafasi bado Ukijiona uko kundi la Busy Flies unayo chance ya kuwa Busy Bee 🐝 


Yaani maana yangu Inzi akiacha ujinga anaweza tengeneza asali


KAMATA FURSA TWE ZETU KWENYE MAFANIKIO ACHA KUWA BUSY FOR NOTHING UPO DUNIANI KUJA KUPATA MATOKEO SIO KUWA BUZY 


NIPIGIE SIMU TUONGEE FURSA AU TUMA NENO FURSA KWENDA WHASAP 

NO 📞🤳0620893996 au BONYEZA WHATSAPP ICON APO CHINI