Ticker

6/recent/ticker-posts

NETWORK MARKETING

 *MAANA HALISI YA NETWORK MARKETING* 


📌Network Marketing ni biashara ya mtandao ambayo lengo lake ni kumsaidia kijana kujitengenezea kipato kwa njia rahisi ya simu yake ya mkononi tu


Imeitwa Network Marketing kwa sababu 


🪄Unahitaji NETWORK (Mtandao, Internet au bando ili kuifanya), so huwez kuifanya ukiwa offline 


🪄Unahitaji NETWORK (Mtandao wa WATU mbali mbali ambao utashikirikiana nao kufundishana na kuelekezana kuhusu namna ya kujitengenezea pesa kupitia mtandao) 


📌Network marketing ni biashara kama biashara nyingine, na upekee wake mkubwa ni kuwa NETWORK MARKETING inahitaji mtaji mdogo sana ili kuifanya, mara nyingi mtaji wake huanzia Tzs 10,000 mpk Tzs 13,000 tu🤦🏾‍♂️😇


📌Vijana wengi sana kwa sasa wameamua kujiajiri kupitia fursa hii, nao walianza kuwa na nia ya dhati ya kujifunza kama wewe tu, na zile shauku zao zikawapelekea kuondoa woga na mashaka na kuamua kuingia kwny fursa hii ili kujikomboa kiuchumi


📌Wengi wanaofanya biashara hii ni vijana kati ya umri wa miaka 17-25, na lengo ni kujitengenezea kipato atleast wawe na pesa zao wenyewe na siyo kutegemea pesa za wazazi tu au za mikopo ya serikali tu kwa wale wanavyuo


📌Network marketing ina pesa ndefu mno ukiamua kuifanya kweli kweli, mambo ya msingi ni


🪄NIDHAMU 

🪄KUJITUMA 

🪄KUWEKA MALENGO 

🪄USHIRIKIANO 

🪄UVUMILIVU

🪄KUTOKUKATA TAMAA

🪄KUWA NA SHAUKU YA MAFANIKIO

🪄KUJITOA KUSAIDIA WENGINE 



KARIBU SANA WHATSAPP KWA KUBONYEZA WHATSAPP ICON

My regards 


 *Tonny02 💸 🇹🇿 *